Peponi
Mkuki na Nyota Publishers

Peponi

Jämför pris från 332 kr till 332 kr i 1 olika butiker

Adlibris

332 kr

Peponi

I lager

Peponi

Beskrivning

Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise. Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake. Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika. Abdulrazak Gurnah ni mshindi

Produktinformation

EAN

9789987449866


SKU

9789987449866


Mkuki na Nyota Publishers

Peponi

Jämför pris från 332 kr till 332 kr i 1 olika butiker

Jämför

Pris

Adlibris

332 kr

Peponi

I lager

Relaterade produkter

-19%

Regnbågfiskets ABC : put och take-fiske med fluga, spinn och mete

Regnbågfiskets ABC : put och take-fiske med fluga, spinn och mete

213 kr

Ordinarie pris: 263 kr

från 213 kr i 2 butiker